Life Herbal Clinic & Research

Uliza swali kuhusu afya yako na pata majibu papo hapo online

Jiunge sasa. Ni rahisi sana!

Ili kujiunga katika huduma hii ya kipekee na uanze kufurahia huduma zetu, ni rahisi sana, ni sekunde kadhaa tu tayari unakuwa umemaliza. Bofya hapa upate fomu ujisajili.

Uliza daktari online

Kuna magonjwa mengi sana ambayo unaweza kujitibu mwenyewe nyumbani kwa vyakula, mimea tiba, matunda na kubadili mtindo wa maisha. Lakini watu wengi hawajui, kila kuchapo, hulazimika kutumia pesa nyingi kwenye matibabu na hata kutumia muda mwingi, na wakati mwingine mafanikio kuwa duni. Wakati mtu angeweza kujisaidia na kujitibia kwa kunywa maji na kula parachichi tu.

Msaada

Kama kuna kipengele hujakielewa vizuri, tupigie katika namba hizi: +255766431675/+255656620725 au bofya hapa ututumie ujumbe wako.

Faida kubwa na ya kipekee unayopata

Kuna faida kubwa sana kujiunga na Uliza daktari online. Ni faida ambazo hautazipata mahala popote:


  • Unaweza kuuliza swali lolote wakati wowote linalohusu afya yako na utapata majibu, hata kama uko safarini, uko kazini, uko nyumbani n.k.
  • Uliza daktari online inashirikiana na madaktari zaidi ya 20 waliobobea katika magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi; tatizo lako litapita kwa madaktari wengi, hivyo utapokea ushauri bora wenye manufaa makubwa sana katika afya yako. Kinga ni bora kuliko tiba.

Njia ya kupokea majibu yako

Katika fomu ya maswali, utaweza kuchagua ni kwa njia gani unayopenda kupokea majibu yako. Kuna njia ya baruapepe (email), whatsapp na sms. Unaweza kuchagua njia mojawapo, mbili au zote. Lakini pia unaweza kujiunga kwenye forum yetu ukachagua kujibiwa kwenye forum.

Gharama za huduma

Gharama za huduma hii ni Tshs. 5,000/= tu kwa mwezi. Ndani ya mwezi mmoja unaweza kuuliza maswali utakavyo, aidha kuhusu wewe mwenyewe au kuhusu familia yako. Na tunarudisha pesa yako kama hukuridhika na majibu yetu au huduma yetu kwa ujumla. Kupitia gharama hii pia, kama utapenda, unaweza kuweka "appointment" kuongea na daktari moja kwa moja kwa njia ya simu kwa ufafanuzi zaidi. Malipo yanalipwa wakati unapojisajili katika fomu ili kuwa mwanachama. Pesa inalipwa kwa M-PESA, TIGOPESA au AIRTEL MONEY. Namba ziko kwenye fomu.

Forum

Tunayo forum ya kipekee ambayo unaweza kujiunga na kubadilisha mawazo na watu mbalimbali. Utasikia pia wao walifanye kuhusiana na matatizo kama yako au matatizo mengine. Utapata faida kubwa sana hapa, na hata mnaweza kuwa marafiki. Na pia tunajibu maswali yote kupitia forum.

Tunalinda siri na mawasiliano yako

Tunakuhakikishia kutunza na kulinda taarifa zako. Hakuna mtu atapewa mawasiliano yako wala taarifa zako zozote ulizotupatia.

Aina ya ushauri wa kitiba tunaotoa

Ushauri wa kitiba tunaoutoa ni ushauri ulioegemea kwenye tiba asilia. Ushauri umeegemea zaidi jinsi ya kujitibu mwenyewe kwa njia asilia. Hatutoi ushauri kuhusiana na dawa za kikemikali (yaani dawa za hospitali). Wala hatutoi ushauri juu ya shida za kiafya zinazohitaji matibabu ya dharura. Tunatoa ushauri kuhusiana na vipimo, ina maana kwamba tunaweza kukushauri upime nini kulingana na jinsi tutakavyoliona tatizo lako. Tazama hapa mifano ya maswali na majibu yetu.

Ni faida gani zingine utapata kwa kujiunga na Uliza daktari online?

Mbali na kujibiwa maswali yako na kupewa ushauri, lakini pia kuna faida zingine utazopata hapa:

  • Kila wiki utakuwa unapokea newsletter ya afya inayoeleza magonjwa mbalimbali, vyanzo vya magonjwa hayo, vipimo na matibabu.
Joshmal Hotels

Welcome to Joshmal Hotels, one of the best Hotels in Arusha. We are located just beneath Arusha City Stand and very close to Major Offices and resources in the City. Arusha Airport is just 15mins drive from the Hotel and Arusha International Conferen

Karama Lodge

Located in Arusha, 48.3 km from Olpopongi - Masai Cultural Village & Museum, Karama Lodge features a year-round outdoor pool and views of the mountains. Arusha Central Market is 3.2 km from the property. Free WiFi is featured and free private …

Car showroom

Check out cars we offer in Dar es Salaam showroom.