Life Herbal Clinic & Research
Uliza swali kuhusu afya yako na pata majibu papo hapo online
Jiunge sasa. Ni rahisi sana!
Uliza daktari online
Kuna magonjwa mengi sana ambayo unaweza kujitibu mwenyewe nyumbani kwa vyakula, mimea tiba, matunda na kubadili mtindo wa maisha. Lakini watu wengi hawajui, kila kuchapo, hulazimika kutumia pesa nyingi kwenye matibabu na hata kutumia muda mwingi, na wakati mwingine mafanikio kuwa duni. Wakati mtu angeweza kujisaidia na kujitibia kwa kunywa maji na kula parachichi tu.
Msaada
Faida kubwa na ya kipekee unayopata
Kuna faida kubwa sana kujiunga na Uliza daktari online. Ni faida ambazo hautazipata mahala popote:
- Unaweza kuuliza swali lolote wakati wowote linalohusu afya yako na utapata majibu, hata kama uko safarini, uko kazini, uko nyumbani n.k.
- Uliza daktari online inashirikiana na madaktari zaidi ya 20 waliobobea katika magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi; tatizo lako litapita kwa madaktari wengi, hivyo utapokea ushauri bora wenye manufaa makubwa sana katika afya yako. Kinga ni bora kuliko tiba.
Njia ya kupokea majibu yako
Gharama za huduma
Gharama za huduma hii ni Tshs. 5,000/= tu kwa mwezi. Ndani ya mwezi mmoja unaweza kuuliza maswali utakavyo, aidha kuhusu wewe mwenyewe au kuhusu familia yako. Na tunarudisha pesa yako kama hukuridhika na majibu yetu au huduma yetu kwa ujumla. Kupitia gharama hii pia, kama utapenda, unaweza kuweka "appointment" kuongea na daktari moja kwa moja kwa njia ya simu kwa ufafanuzi zaidi. Malipo yanalipwa wakati unapojisajili katika fomu ili kuwa mwanachama. Pesa inalipwa kwa M-PESA, TIGOPESA au AIRTEL MONEY. Namba ziko kwenye fomu.
Forum
Tunalinda siri na mawasiliano yako
Aina ya ushauri wa kitiba tunaotoa
Ushauri wa kitiba tunaoutoa ni ushauri ulioegemea kwenye tiba asilia. Ushauri umeegemea zaidi jinsi ya kujitibu mwenyewe kwa njia asilia. Hatutoi ushauri kuhusiana na dawa za kikemikali (yaani dawa za hospitali). Wala hatutoi ushauri juu ya shida za kiafya zinazohitaji matibabu ya dharura. Tunatoa ushauri kuhusiana na vipimo, ina maana kwamba tunaweza kukushauri upime nini kulingana na jinsi tutakavyoliona tatizo lako. Tazama hapa mifano ya maswali na majibu yetu.
Ni faida gani zingine utapata kwa kujiunga na Uliza daktari online?
Mbali na kujibiwa maswali yako na kupewa ushauri, lakini pia kuna faida zingine utazopata hapa:
- Kila wiki utakuwa unapokea newsletter ya afya inayoeleza magonjwa mbalimbali, vyanzo vya magonjwa hayo, vipimo na matibabu.