Chota Maarifa Ongeza Kipato

Mafunzo maalumu jinsi ya kupata na kuongeza kipato

Big image

Tengeneza ajira ONLINE

Kuna ajira zaidi ya 1000 online ambazo unaweza kuzifanya na kukuongezea kipato kikubwa sana. Hauhitaji kuacha kazi uliyonayo. Unatakiwa uwe tu na uwezo wa kupata internet mahala popote, iwe ni simu yako ya mkononi, internet cafe, au laptop yako, uwe na email address.


Je, utazijuaje hizo kazi na utazifanya vipi? Ni rahisi sana.


Tunakufundisha jinsi ya kuzifanya kazi hizo wewe mwenyewe. Tuna wataalamu wa kutosha waliobobea. Ni kozi ya mwezi mmoja tu. Baada ya kukufundisha hatukuachii, tunakusaidia jinsi ya kufanya kazi hizo kivitendo hadi ufanikiwe. Tumia nafasi hii kujiongezea kipato, usiendelee kujikunyata, ni rahisi sana. Kozi ni mwezi mmoja tu, na ni shilingi 25,000/= tu kwa kozi yote kwa muda wa mwezi mzima.

Kozi maalumu jinsi ya kupata kazi

Yawezekana umeshatafuta kazi sana na kwa muda mrefu lakini haupati. Unadhani hauna bahati. Laa hasha! Bahati unayo, tena una bahati kubwa sana. Tatizo ni kwamba, yawezekana ukawa hujui jinsi ya kuitumia au hata hujui bahati ni nini na mkosi ni nini?


Usiendelee kuumia sasa, huu ni wakati wa ufumbuzi. Hesabu kwamba kazi umepata sasa. Chota Maarifa na ongeza kipato chako itakufundisha kwa kina na kwa ufasaha sana mbinu, njia na jinsi ya kupata kazi na hata tutakusaidia sana kuhakikisha umepata. Hatutakuwa na furaha kama hukupata kazi baada ya mafunzo yetu. Kozi hii ni Tshs. 25,000/= kwa mwezi. Unangoja nini? Anza sasa, BOFYA HAPA.

Kozi maalumu jinsi ya kuongeza kipato

Yawezakana kabisa, una kazi. Umeajiriwa au umejiajiri mwenyewe lakini kipato chako hakikutoshi. Kipato unachopata ni kidogo, huwezi kusomesha watoto, kujenga, kujitibia na mengine chungu nzima.


Je, unapenda hali hiyo? Bila shaka na kwa hakika kabisa hupendi. Lakini, hujui ufanyeje! Hujui utumie mbinu gani na njia gani kuongeza kipato.


Usiendelee kuhuzunika, usiseme kwa nini wengine wako hivyo na mimi niko hivi. Usiseme wao wamependelewa! Muda wako umefika sasa na wewe uongeze kipato chako, uwe hata zaidi ya wao. Inawezekana, mahali ni hapa. Tunafanyaje?


Tunakuletea mafunzo ya mwezi mmoja kwa shilingi 25,000/= tu. Tunachohitaji kwako ni kujua kipato chako kwa mwezi, shughuli yako, elimu yako na uzoefu wako tu. Tutakufundisha na tutakuongoza hatua kwa hatua hadi ufaulu. BOFYA HAPA uanze.

Kozi maalumu ya jinsi ya kubuni na kuanzisha biashara

Shida kubwa kwa watu wengi leo ni namna ya kuanzisha biashara