Life Herbal Clinic & Resarch

Maombi ya uwakilishi

Ndugu Mpendwa,


Maombi yako ya kazi ya uwakilishi katika Wilaya yametufikia, na tunaendelea kuyafanyia kazi hadi hapo ifikapo tarehe:15/2/2016 ndipo tutakuwa na taarifa kamili. Tumetukumieni email hii kwa wote mliotuma maombi yenu kutokana na baadhi ya watu kuulizia mara kwa mara kuhusu taarifa zao.


Wako katika Ujenzi wa Taifa,


Dr. Khamisi Ibrahim Zephania.


+255766431675/+255656620725