ONepOINT

Taarifa na habari kiganjani mwako

sasa unaweza kufurahia maisha mzuri, murua. Maisha ambayo yatakuondolea stress.

Pokea taarifa zote za ajira nchini kwenye simu yako

Je, wewe unapenda kupata taarifa za ajira? Usihangaike sasa! Usipoteze pesa nyingi na muda mwingi. ONepOINT inakuketea huduma ya kipekee ambayo hautaipata mahala popote pale. Utakuwa unapokea kila taarifa yoyote ya ajira inayotokea nchini kutoka serikalini, makampuni binafsi, taasisi zisizo za kiserikali, mashirika ya umma n.k. Na utatumiwa taarifa zote kwenye simu yako ya mkononi, baruapepe (email) kila siku.

Pokea habari na taarifa za michezo na burudani

Je, wewe ni mpenzi wa habari za michezo na burudani? Hapa ndiyo mahala pake. ONepOINT ipo kwa ajili ya kukidhi hitajio lako. Utapokea taarifa na habari zote za michezo za kitaifa na kimataifa kila siku kwenye simu yako na vyanzo vya habari hizo.

Pokea habari za kitaifa na kimataifa kila siku kwenye simu yako

Je, unapenda kupata habari zinazotokea ndani Na nje ya nchi? Ni rahisi Sana, Ni ONepOINT. Utakuwa unatumiwa habari zinazotokea nchini Na nje ya Nchi kila siku kwenye siku yako ya mkononi Na vyanzo rasmi zinakotoka hizo habari.

Pokea vichekesho vya kukata mbavu uondoe msongo

Je, wewe ni mpenzi wa vichekesho/ucheshi? Hapa ni mahala pake. Utapokea kila siku vichekesho vikiwa katika picha au video au maneno. Hapa ni mahala ambapo patakuondolea msongo wa mawazo baada ya kazi za kutwa nzima n.k.